Mawaziri hao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha ushirikiano kwenye masuala ya biashara na uwekezaji ambapo, Mhe. Makamba ametumia fursa hiyo kuukaribisha Ujumbe wa Wafanyabiashara utakaongozwa na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Ufaransa (MEDEF) unaotarajia kushiriki kwenye Jukwaa la Biashara linalotarajia kufanyika kuanzia tarehe 27 hadi 29 Mei, 2024 jijini Dar …
Soma zaidi »Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Taasisi ya Huduma za Afya Aga Khan, Mwana Mfalme Bi. Zahra Aga Khan
MH. RAIS SAMIA SULUHU KWENYE MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA JIJINI NAIROBI KENYA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kenya Mhe. Dkt. William Ruto mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 29 Aprili, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano …
Soma zaidi »Serikali ya Tanzania na Czech Zakubaliana Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili
Serikali za Tanzania na Czech kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kuvutia uwekezaji kati yao. Kuondoa utozaji wa kodi mara mbili kunahamasisha biashara na uwekezaji wa moja kwa moja (FDI) kwa kuifanya nchi ya Tanzania kuwa mahali bora zaidi kwa wawekezaji wa Kicheki. Hii inaweza kusababisha ukuaji wa uchumi na kujenga …
Soma zaidi »“Nani aliyeunda Jumuiya ya Madola na kwa nini?”
Malkia Elizabeth II pamoja na mawaziri wake wakuu wa Jumuiya ya Madola mwaka 1962. Picha: Alamy Nani aliyeunda Jumuiya ya Madola na kwa nini? Katika mkutano wa mwaka 1926, Uingereza na Himaya zake zilikubaliana kwamba wote walikuwa wanachama sawa wa jamii ndani ya Himaya ya Kiingereza. Wote walikuwa wana wajibu …
Soma zaidi »SERIKALI YA TANZANIA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MTAALAM WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU HAKI ZA WATU WENYE UALBINO
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amefanya mazungumzo na Mtaalam wa kujitegemea wa masuala ya haki za Watu wenye Ualbino kutoka Umoja wa Mataifa (UN Independent Expert on the Enjoyment of rights by Persons with Albinism), Bi. Muluka-Anne …
Soma zaidi »USHAWISHI WA TANZANIA DUNIANI UTATEGEMEA NA UBORA WA SERA YA MAMBO YA NJE INAYOREKEBISHWA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu-Zanzibar, Mhe. Ali Suleiman Ameir akitoa hotuba ya ufunguzi ya Kongamano la Wadau kuhusu kukusanya maoni ya marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 lililofanyika Hoteli ya Golden Tulip mjini Zanzibar tarehe 05 Februari 2024. Waziri wa Mambo ya Nje na …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BI JAMIE COOPER
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bi. Jamie Cooper ambaye ni Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Big Win Philanthropy, Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 2 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Bi. Jamie Cooper …
Soma zaidi »Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (kulia) akizungumza na Rais wa Chama cha Wafanyabiashara wa Italia, Mhandisi Alfredo Cestari walipokutana pembezoni mwa Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi za Afrika na Italia unaendelea Roma, Italia.
TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA MAENDELEO; KUONGEZA UWEKEZAJI WA GESI, KUVUTIA BILIONI 1 ZA UWEKEZAJI, NA USHIRIKIANO NA INDONESIA.
Kuongeza Uwekezaji wa TPDC kwenye Kitalu cha Gesi Mnazi Bay Hatua ya kuongeza hisa za TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay ina lengo la kuimarisha udhibiti wa nchi katika rasilimali za gesi. Kuwa na umiliki mkubwa zaidi kunaweza kuongeza faida kwa Tanzania na kuhakikisha uwiano mzuri wa manufaa kati …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+