Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuzungumza na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Mhashamu Wolfgang Pisa
Mhashamu Wolfgang Pisa pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, alipowasili wilayani Ruangwa kwa ajili ya Harambee ya Ujenzi wa Kanisa na maandalizi ya Jubilei ya miaka 25 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Wolfgang na miaka 50 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Bruno Ngonyani, ambaye ni Aksofu Mstaafu wa …
Soma zaidi »Meli tatu za kivita za Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China zimewasili katika Bandari ya Dar es Salaam zikiwa na wanajeshi kadhaa kwa ajili ya kushiriki mazoezi ya pamoja na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikiwa ni sehemu maadhimisho miaka 60 ya Jeshi hilo na ushirikiano kati ya Nchi ya Tanzania na China tangu kuanzishwa kwake.
Akizungumza Julia 24, 2024 katika Bandari ya Dar es Salaam wakati akipokea Meli tatu za Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China, Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji Tanzania NAVY, Rear Admiral Ameir Ramadan Hassan, amesema kuwa ujio wa meli hizo kutoka Jamhuri ya Watu wa China ni sehemu …
Soma zaidi »Falsafa hizi nne (4R) zinalenga kuimarisha umoja, kuleta ustawi na maendeleo ya kudumu kwa taifa, na kuhakikisha kuwa serikali inawajibika kwa wananchi wake
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza kwamba viongozi wanapaswa kutumia falsafa ya 4R kuongoza jamii zao licha ya tofauti zao za kisiasa, kiimani, na itikadi.
Hii ni njia ya kuhakikisha umoja, uvumilivu, maendeleo, na ustawi kwa jamii nzima. Kila kiongozi anapaswa kujitahidi kuhakikisha falsafa hizi zinatumika katika kazi zao za kila siku ili kufikia malengo ya pamoja na kuleta manufaa kwa jamii nzima. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #NEMC …
Soma zaidi »Uongozi Wenye Upendo na Hekima: Tanzania Kielelezo cha Maendeleo na Mshikamano
Uongozi wenye upendo na hekima ni msingi imara wa maendeleo ya jamii yoyote. Katika Tanzania, viongozi wameonyesha umahiri wa kujenga mshikamano na kuimarisha uhusiano kati yao na wananchi. Kwa mfano, Rais amejitahidi kusikiliza na kutatua matatizo ya wananchi kwa kuweka sera na mipango endelevu inayolenga kuboresha maisha ya watu wote. …
Soma zaidi »JE, KATIKA MUKTADHA WA KATIBA YA TANZANIA, NI VIPI TUNU KUU ZA HAKI, USAWA, UMOJA, NA MAENDELEO ZINAVYOWEZA KUCHANGIA KATIKA KUJENGA JAMII YENYE USTAWI KWA WANANCHI WOTE?
Katiba ya Tanzania inajenga msingi imara wa tunu kuu za taifa ambazo zinafafanua misingi ya haki, usawa, umoja, na maendeleo ya wananchi wote. Uhuru na Haki Katiba inatambua haki za msingi za kila Mtanzania, ikiwa ni pamoja na uhuru wa kujieleza (Ibara ya 18), uhuru wa kujumuika (Ibara ya 20), …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo
Ikuli jijini Dodoma Juni 12 2024.
Soma zaidi »KAMPUNI ZA TANZANIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UJENZI
Tanzania na China zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja kwa kuyawezesha Makampuni ya Tanzania kupewa sehemu ya kazi za ujenzi kutoka kwa Makampuni ya Kichina yatakayopewa kazi ya kutekeleza miradi ya ujenzi nchini. Makubaliano hayo yamefikiwa leo Mei 20, 2024 …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+