Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Mhashamu Wolfgang Pisa

Mhashamu Wolfgang Pisa pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, alipowasili wilayani Ruangwa kwa ajili ya Harambee ya Ujenzi wa Kanisa na maandalizi ya Jubilei ya miaka 25 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Wolfgang na miaka 50 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Bruno Ngonyani, ambaye ni Aksofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Lindi.

Ujenzi wa Kanisa hilo unategemea kugharimu kiasi cha shilingi bilioni 6.6

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *