DIPLOMASIA

USIPOTEZE HAKI YAKO, WAHI KAHAKIKI TAARIFA ZAKO, RAIS DKT. SAMIA

“Ndugu zangu nami nimeona nijiunge nanyi hapa kituoni kwetu. Kama mnavyojua mimi ni mkazi wa Chamwino na nimepiga kura nyingi huko nyuma. Lakini kwa mwaka huu ni lazima nipige hapa Chamwino. Kwa hiyo ndiyo maana nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Si mpiga kura mpya lakini nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Huko nyuma …

Soma zaidi »

“KILA MTANZANIA AJITOKEZE ATUMIE FURSA YA KUJIANDIKISHA” – MHE. DKT. SAMIA

“Kama nilivyosema, la kwanza kutokujitokeza kuandikisha ni kukataa mwenyewe haki yako ya kikatiba. Na unapokataa haki ya kikatiba suala unajiuiza je, wewe ni mzalendo?, ni mzalendo wa aina gani ambae katiba imekupa fursa hii, nenda kaandikishe, piga kura, weka kiongozi anayehisi atakuja kukuhudumia wewe unaikataa. Ukiikataa wenzio watakwenda kuweka wanayemtaka …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahimiza Waandishi Waendesha Ofisi kujiweka tayari ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia kwa kuendelea kujifunza na kuwa wabunifu zaidi kwa kuwa ustadi katika TEHAMA unakuwa ni sifa muhimu katika majukumu yao

Soma zaidi »