Imeelezwa kuwa ujenzi wa mradi wa umeme wa Rufiji utakaozalisha megawati 2115 unatarajiwa kuanza rasmi tarehe 15 mwezi Juni mwaka huu. Hayo yalielezwa jana na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani katika eneo utakapotekelezwa mradi huo wilayani Rufiji mkoani Pwani mara baada ya kukagua kazi za ujenzi wa miundombinu wezeshi …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
DAWASA YATATUA TATIZO LA MAJI KATA YA WAZO NA VITONGOJI VYAKE
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wa Kata ya Wazo kupata maji kwa kipindi chote kwa mwaka mzima bila kukatika. DAWASA imewekeza zaidi kwa kujenga tanki kubwa litakalikuwa likizalisha lita milioni sita tofauti na mwanzo ilipokuwa ikizalisha lita elfu sitini tu kwa mwaka. …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA
LIVE: Sherehe za Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar
SERIKALI SASA KUMILIKI 49% YA HISA ZA AIRTEL
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal, Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo wamezungumzia maendeleo ya mazungumzo ya umiliki wa hisa za kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania. Baada ya mazungumzo hayo Bw. Sunil Mittal amesema kampuni yake imekubali …
Soma zaidi »LIVE : UJIO WA AIRBUS A220-300 NGORONGORO.
MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WANYUMBA YA MAKAZI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kutumia Vikosi vyake katika ujenzi wa miradi ya maendeleo. Makamu wa Rais ametoa pongezi zake leo wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi wa ujenzi wa nyumba ya …
Soma zaidi »LATE LIVE: “SHULE ZOTE HIZI ZA BINAFSI, KWA HAYA WALIYOKIUKA; KUFIKIA KESHO WIZARA IPATE TAARIFA ZAKE!” – NAIBU WAZIRI MHE. WAITARA
Ni Shile ZOTE BINAFSI ambazo zimeongeza ada kiholela msimu huu wa masomo. Ni Shule zote nchini ambazo zimekiuka maelekezo ya wizara na kuwakaririsha wanafunzi madarasa na kupanga wastani kinyume na utaratibu wa nchi. Ni Shule ambazo zimewalazimisha wanafunzi kulipoti na vitu kadhaa kinyume na maelekezo ya serikali (Kuwalazimisha wanafunzi kwenda …
Soma zaidi »LIVE:RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI . IKULU JIJINI DSM
https://youtu.be/5te2Y6KIoQY
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA TAASISI YA KARUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Asema kukamilika kwa taasisi hiyo kutakuwa na manufaa makubwa kwa jamii Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefungua Jengo la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), wilaya ya Magharibi ‘B’ lililojengwa kwa ghararama ya sh. bilioni 4.2. Afungua jengo hilo (Jumanne, Januari 8, 2019) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+