NEMC leo imeungana na Jumuiya ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Walemavu Duniani kwa kutoa wito wa kuimarishwa kwa mazingira jumuishi na rafiki kwa watu wote, hususani watu wenye ulemavu. MatokeoChanya December 3, 2025 CCM, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+ Acha maoni 170 Imeonekana Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Immaculate Sware Semesi. Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest