Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma kufungua Mkutano wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri leo tarehe 12 Julai 2025
MatokeoChanya
July 12, 2025
CCM, DIPLOMASIA, JIJI LA DODOMA, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, TAMISEMI, Tanzania, Tanzania MpyA+
389 Imeonekana