Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la  Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025

Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya siku moja ambapo pia amealikwa kama Mgeni Rasmi na Rais wa nchi hiyo Mhe. Azali Assoumani kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Malouzini Omnisport mjini Moroni.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *