Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha nakala za vitabu vya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 mara baada ya uzinduzi katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.
MatokeoChanya
July 17, 2025
CCM, JIJI LA DODOMA, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
37 Imeonekana