BARABARA KUU NA ZA VIJIJINI MJINI KATAVI ZIMEKARABATIWA NA KUJENGWA UPYA

Barabara kuu na za vijijini zimekarabatiwa na kujengwa upya, hivyo kurahisisha usafiri na usafirishaji wa bidhaa. Hii imeongeza shughuli za kiuchumi na kurahisisha upatikanaji wa huduma muhimu kwa wananchi.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *