BAJETI YA SERIKALI KUSOMWA TAREHE 11 JUNI NA BUNGE KUVUNJWA TAREHE 19 JUNI, 2020

Spika Ndugai akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo amesema kuwa mabadiliko ya ratiba ya Bunge yamefanyika ili usomaji wa Bajeti ya Serikali uwe wakati mmoja na wa nchi zingine za Afrika Mashariki ambapo Bajeti ya Serikali itasomwa tarehe 11 Juni na Bunge kuvunjwa tarehe 19 Juni, 2020.
Wajumbe kamati ya uongozi wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichokaa ili kupokea Mapendekezo ya Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa 19 wa Bunge leo nyumbani kwake uzunguni Jijini Dodoma.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *