MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA
Matokeo ChanyA+
September 15, 2018
Makamu wa Rais, Matokeo ChanyA+, Taarifa Vyombo vya Habari, Tanzania MpyA+, Waziri Mkuu
1,407 Imeonekana
- Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa.

- Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo.
- Sasa foleni katika eneo la TAZARA kupungua kwa asilimia kubwa mno.
- Muda wowote kuanzia sasa, Rais Magufuli aizindua flyover hiyo na kuipa jina la Eng. Patrick Mfugale Flyover