Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Ali Davutoglu ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi huo, pia kujifunza shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania.
Tags Bunge La Tanzania Diaspora Tanzania Kassim Majaliwa magufuli Mawaziri Mhimili wa Bunge Mihimili Tanzania TANZANIA mpya Tanzania Mpya