Recent Posts
LIVE: SEMINA KUBWA SONGEA, WAJUMBE 800+ WA KAMATI ZA SIASA
Zaidi ya wajumbe 800 wa kamati za siasa, viongozi wa serikali za mitaa, wilaya na mashirika mbalimbali wameungana kwenye semina maalum iliyoandaliwa na MSLAC kwa ajili ya kutoa elimu juu ya maendeleo ya jamii, usalama wa jamii, uongozi bora na ushirikishwaji wa wananchi. Semina hii inalenga kuhamasisha mabadiliko chanya kwenye …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Finland ukiimbwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025
Kampuni ya Tembo Nickel Ltd imethibitisha ratiba ya kuanza rasmi ujenzi wa Mgodi wa Kabanga Nickel uliopo wilayani Ngara,Kagera
Hayo yamesemwa leo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Lifezone Metals inayomiliki kampuni ya Tembo Nickel Corporation Limited
Soma zaidi »Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili Mkoani Iringa ambapo anatarajia kushiriki Maadhimisho ya Miaka Ishirini ya Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) yanayofanyika leo tarehe 14 Mei 2025 katika Viwanja vya Chuo hicho
RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI MAZISHI YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS NA WAZIRI MKUU MSTAAFU HAYATI MSUYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi mbalimbali wa serikali, wananchi na familia katika mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati John Malecela Msuya. Katika video hii, utaona: 🕊️ Heshima za mwisho kwa kiongozi mashuhuri wa taifa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




