Recent Posts

KAGERA YATENGEWA HEKTA 58,000 KWA AJILI YA VIWANDA

Serikali imeeleza kuwa mikakati inayoendelea kutekelezwa na kuratibiwa katika Mkoa wa Kagera  ni pamoja na kutenga maeneo ya uwekezaji yenye ukubwa wa hekta 58,000 kwa ajili ya kuanzisha viwanda vya kusindika na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo (Agro Processing Industries) hususani viwanda vya kusindika nyama, maziwa, asali, ndizi, miwa, …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WATATU WAPYA LEO JIJINI DSM

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 31 Januari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi kutoka nchi 3 ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Balozi wa kwanza kukutana na Makamu wa Rais, alikuwa Mhe. Gaber Mohamed Abulwafa Balozi mpya wa Misri hapa nchini ambaye alifika kwa lengo la …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Islam Seif Salum Mchenga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uvuvi wa Bahari Kuu (Deep Sea Fishing Authority – DSFA). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Dkt. Mchenga umeanza tarehe 01 Desemba, 2018 na kwamba …

Soma zaidi »

TANESCO INATEKELEZA MIRADI MIKUBWA 22 KWA WAKATI MMOJA

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani wataondokana na tatizo la umeme baada ya transfoma yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240 kuwasili. Transfoma hiyo  itakiongezea uwezo kituo cha Ubungo kutoka MVA 300 hadi 600 sawa na MW 480. Kazi hii itakamilika Mwezi Mei …

Soma zaidi »