Recent Posts

ALMASI KUBWA YAPATIKANA MKOANI SHINYANGA

Almasi yenye ukubwa wa karati 521 imepatikana katika mgodi wa Mwadui Mkoani Shinyanga tangu mgodi huo uanze uzalishaji miaka 87 iliyopita. Akitoa taarifa hiyo Ofisini kwake mbele ya waandishi wa Habari  tarehe 30 Aprili, 2019, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amesema almasi hiyo itauzwa ndani ya nchi …

Soma zaidi »