Recent Posts

WIZARA YA NISHATI NA JICA WAJADILI MPANGO WA KUFIKISHA GESI ASILIA MIKOANI

Katika kuhakikisha kuwa, wigo wa matumizi ya Gesi Asilia nchini unaongezeka kwa kufikia wateja wengi, Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) wapo katika majadiliano ya kuhakikisha kuwa Gesi Asilia inasambazwa katika Mikoa mbalimbali nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt Hamisi Mwinyimvua leo tarehe …

Soma zaidi »

PROF MCHOME AKUTANA NA WATOA MSAADA WA KISHERIA JIJINI ARUSHA

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome amekutana na watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha na kuwataka kuleta matokeo kupitia huduma ya msaada wa kisheria. Prof Mchome alikutana na watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya ziara ya ukaguzi wa …

Soma zaidi »

MUHIMBILI YAPOKEA VIFAA TIBA VYA KUTIBU SARATANI YA MACHO

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa mashini za kutoa tiba ya saratani macho kwa watoto bila kuyaondoa zenye thamani ya shilingi milioni 170 kutoka Rotary Club Oyster bay jijini Dar es Salaam. Msaada huu utawanufaisha watoto wengi wanaofikishwa hapa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa huduma ya saratani ya …

Soma zaidi »