Recent Posts

MAWAZIRI WA NISHATI WA AFRIKA MASHARIKI WAAHIRISHA MKUTANO WAO

Mawaziri wenye dhamana na sekta ya nishati kutoka nchi sita zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameahirisha Mkutano wao uliopangwa kufanyika Arusha, Juni 7 mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa EAC anayeshughulikia Sekta ya Uzalishaji, Jean Baptiste Havugimana, ilieleza kuwa Mkutano huo utafanyika siku nyingine katika tarehe itakayobainishwa na …

Soma zaidi »

WATANZANIA WANAOISHI UK KUFANYA HARAMBEE YA KUNUNUA JENGO LA JUMUIYA

Jumuiya ya Watanzania UNITED KINGDOM -TZUK DIASPORA itafanya uzinduzi wa harambee na kampeni kubwa ya ununuzi wa jengo la kisasa kwa ajili ya jumuiya Jengo hilo linategemewa kuwa na kila aina ya huduma za kijamii na kuitangaza Tanzania nje ya nchi Akizungumzia kampeni hiyo hivi karibuni Mwenyekiti wa Jumuiya ya …

Soma zaidi »

BIL.8 KUJENGA SOKO KUBWA LA KISASA KATIKA MJI WA KIBAHA – BYARUGABA

Halmashauri ya Mji Kibaha ,Mkoani Pwani inajenga soko kubwa, la kisasa kwenye eneo la kitovu cha Mji litakalogharimu takribani sh.bilioni 7.3. Fedha hizo za ujenzi huo ni kati ya kiasi cha sh.bilioni 8 zilizotolewa na serikali inayoongozwa na Rais wa awamu ya tano Dr.John Pombe Magufuli ambazo zimetolewa kwa ajili ya …

Soma zaidi »