Recent Posts

TIC – MILANGO IPO WAZI KWA WAWEKEZAJI TANZANIA

Na Mwandishi Wetu, Mtwara. Katika kuhakikisha azma ya Serikali ya kuendeleza na kukuza uchumi wa Viwanda, Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC kimesema ipo haja kwa Wawekezaji kukitumia kituo hicho katika kufanikisha shughuli zao ambazo ndio chachu ya ukuaji wa uchumi huo. Kituo hicho ambacho kinaratibu, kuhamasisha na kusimamia Uwekezaji nchini sasa …

Soma zaidi »

HALMASHAURI YA WILAYA BAHI YAFANIKIWA KUONGEZA MAPATO

Na Zynabu AbdulMasoud, Halmashauri ya wilaya ya Bahi imefanikiwa kuongeza kipato Cha Wananchi kutoka 420,000 hadi 980,000 na kuongeza mapato ya Halmashauri hadi kufikia sh Bilioni 1.6 kutokana na uwekezaji uliofanywa na serikali ya awamu ya tano kupitia miradi mbalimbali. Aidha uwekezaji kwenye sekta ya elimu katika halmashauri hiyo umesaidia …

Soma zaidi »

MKURUGENZI MTENDAJI WA BODI YA MIKOPO AKUTANA NA WATENDAJI WA NHIF

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (kulia) akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello (kulia) wakati walipofika kujitambulisha …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA AIASA JAMII KUTOPUUZA VYAKULA VYA ASILI

NA.MWANDISHI WETU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameiasa jamii kuendelea kutumia vyakula vya asili ili kuwa na afya bora na kuondokana na magonjwa yatokanayo na lishe duni. Ameyasema hayo wakati wa ziara yake …

Soma zaidi »

WATENDAJI WA MIKOA WAHIMIZWA KUSIMAMIA USTAWI WA SEKTA YA FEDHA NCHINI

Na Farida Ramadhani, WFM, Morogoro Serikali imewataka watendaji wa mikoa kuhakikisha wanasimamia na kuendeleza Sekta Ndogo ya Fedha nchini kwa kuhamasisha watoa huduma katika sekta hiyo wanasajiliwa na kukata leseni kwa mujibu wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018. Agizo hilo limetolewa na Kamishna wa Idara ya …

Soma zaidi »