Recent Posts

SERIKALI YAANZISHA MADAWATI YA ULINZI KWA WATOTO MASHULENI

Na. Catherine Sungura, WAMJW-DodomaWizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuratibu uanzishwaji wa madawati ya Ulinzi wa Watoto katika shule za msingi na sekondari nchini.Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa kuwasilisha taarifa ya …

Soma zaidi »

KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo March 30,2021 ameshiriki katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambacho ni kikao Maalum kinachoendelea Makao Makuu ya Chama cha …

Soma zaidi »

MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA NJE YA NCHI WAHIMIZWA KUONGEZA JUHUDI ZA KUTAFUTA MASOKO

Mabalozi wanaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya Nchi wameelekezwa kujipanga, kushiriki na kutafuta fursa zitakazowezesha bidhaa mbalimbali za Tanzania kupata masoko ya  uhakika katika nchi walizopo. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi wakati akizungumza na mabalozi wanaoiwakilisha …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: HAYATI DKT. MAGUFULI AMEACHA ALAMA HADI VIJIJINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi mahiri na ameacha alama Taifa zima na ndiyo sababu analiliwa na wananchi nchi nzima hadi vijijini. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Machi 24, 2021) alipozungumza na wananchi kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kabla ya …

Soma zaidi »

WANANCHI WA MWANZA WAMUAGA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

Msafara wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ukipita katika barabara ya Airport kuelekea katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya shughuli za kuagwa na maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Mwanza na mikoa jirani leo …

Soma zaidi »