Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la JMT Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Spika wa Bunge la Malawi Mhe. Madalitso Kazombo katika Ofisi ndogo za Bunge la Tanzania Jijini Dar es Salaam leo January 25, 2024 0 Soma zaidi »
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mashuhuri mara baada ya kuweka shada la maua kwenye mnara wa kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa ya Kalibata wakati wa ziara yake ya Kitaifa Jakarta nchini Indonesia. January 25, 2024 0 Soma zaidi »
Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya imefanikiwa kukamata gramu 692336 na watuhumiwa wanne January 25, 2024 0 Soma zaidi »
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace January 25, 2024 0 Soma zaidi »
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati akipanda mti wa kumbukumbu mara baada ya kupokewa Rasmi katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo Bogor Presidential Palace January 25, 2024 35 Soma zaidi »
Rais Samia Suluhu Hassan akinawishwa mikono na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo mara baada ya kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo yaliyopo mji wa Bogor (Bogor Presidential Palace) January 25, 2024 12 Soma zaidi »
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wakielekea kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo Bogor Presidential Palace January 25, 2024 0 Soma zaidi »
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la heshima wakati wa mapokezi yake Rasmi katika viwanja vya Bogor Presidential Palace January 25, 2024 0 Soma zaidi »
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa,Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na viongozi mbalimbali na wageni waalikwa katika hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwaajili ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba wakati wa ziara yake nchini Tanzania. Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 24 Januari 2024.Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa,Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na viongozi mbalimbali na wageni waalikwa katika hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwaajili ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba January 25, 2024 1 Soma zaidi »