Wananchi wa Morogoro wameonyesha shukurani zao kwa serikali kwa juhudi za maendeleo, hasa katika ujenzi wa reli ya SGR na soko kuu la Chifu Kingalu. Ujenzi wa SGR umeleta matumaini mapya kwa wananchi kwa kuboresha miundombinu na usafiri, hivyo kurahisisha shughuli za kibiashara na kuongeza fursa za ajira. Aidha, ujenzi …
Soma zaidi »Recent Posts
NEMC KUSHIRIKIANA NA WADAU KUTAFUTA MIFUMO MAHUSUSI YA UREJELEZAJI WA TAKA NGUMU NCHINI TANZANIA
NEMC KWA KUSHIRIKIANA NA CSE WAENDESHA WARSHA YA KUJENGEANA UWEZO JUU YA UREJELEZAJI WA TAKA NGUMU
“Mhe Rais nikupe habari njema…..”
“Mhe Rais nikupe habari njema; picha yako hiyo.. (picha ya Rais Dkt. Samia akiwa katika chumba Maalum cha kuokolea maisha watoto wachanga wanaozaliwa na changamoto za kiafya, alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi 14/07/2024), Mhe Rais picha yako hiyo imenipa (Wizara ya Afya) ahadi ya kupata Dola za …
Soma zaidi »“Kila mmoja wetu ana nafasi ya kuchangia katika ujenzi wa taifa letu, hakuna nafasi ya kukaa bila kufanya kazi.”
@SuluhuSamia#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC#SamiaSuluhuHassan#ChamaChaMapinduzi#PhilipMpango#wizarayaafya#wizarayaujenzi
Soma zaidi »IJUE DHANA YA KATAZO LA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI
WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEIMARISHA NGUVUKAZI SEKTA YA AFYA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeimarisha nguvukazi kwenye sekta ya afya kwa kuongeza taasisi zinazotoa mafunzo ya afya na upatikanaji wa fursa za elimu ya juu kwa kada hiyo. “Serikali imefanya upanuzi wa taasisi za mafunzo ya afya ili kuongeza idadi ya wahitimu. Taasisi hizo ni pamoja na vyuo …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Heshima Pro Business Environment Award kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kwa niaba ya Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC)akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango,
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3, hayati Benjamin William Mkapa katika Kijiji cha Lupaso mkoani Mtwara, Julai 28, 2024, kuhani familia na kuzungumza na wananchi wa Lupaso.
Balozi Nchimbi amesema “naomba nikiri kuwa mimi ni mwanafunzi wa hayati na nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa (UVCCM), katika kipindi chake. Ndiye alinilipia ada ya kusoma chuo kikuu na alikuwa mfuatiliaji sana na alitulea vizuri. Sio sisi tu, bali Watanzania wote aliwalea pia. Alikuwa mzalendo kwa nchi, alifanya …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




