Recent Posts

Uhusiano Imara wa Kiuchumi kati ya Tanzania na China, Miradi ya Reli ya TAZARA na Uwekezaji Upya Yanaleta Maendeleo Makubwa

Mahusiano kati ya Tanzania na China yana historia ndefu na yenye matokeo chanya. Tangu uhuru wa Tanzania, China imekuwa mshirika muhimu wa maendeleo, hasa katika sekta za miundombinu, viwanda, na elimu. Ushirikiano wao uliimarishwa kwa njia ya miradi mikubwa kama ujenzi wa reli ya TAZARA (Tanzania-Zambia Railway Authority) katika miaka …

Soma zaidi »

Rais Samia Suluhu Hassan Akiwa Beijing

Rais Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia alikutana na Rais Xi Jinping huko Beijing. Rais Xi alieleza utayari wa China kuimarisha zaidi uhusiano na Tanzania ili kutoa mfano bora wa mahusiano kati ya China na Afrika na ushirikiano kati ya mataifa ya Kusini mwa Dunia.

Soma zaidi »

Uzalendo ni msingi wa maendeleo ya taifa letu

“Uzalendo ni msingi wa maendeleo ya taifa letu. Ni lazima kila Mtanzania apende na kuthamini nchi yake kwa vitendo, kwa kuilinda, kuitetea, na kuhakikisha tunaacha alama bora kwa vizazi vijavyo. Kama Watanzania, tunao wajibu wa kuendeleza nchi yetu kwa umoja na mshikamano. Uzalendo si maneno tu, ni vitendo vya kila …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping pamoja na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakishuhudia uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing

#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi

Soma zaidi »