MAUZO YA KOROSHO YA TANZANIA YAMEONGEZEKA KUTOKA TANI 27 MWAKA 2017 HADI KUFIKIA TANI 1007 MWAKA 2020 NCHINI CHINA

China imeahidi kununua zaidi bidhaa za kilimo na Uvuvi kutoka Tanzania ahadi hiyo imetolewa leo jijini Beijing katika Mkutano wa Balozi Kairuki na Rais wa Taasisi ya China Chamber of Import and Export of Foodstuff Ndugu CAO Derong

Mauzo ya bidhaa za baharini kutoka Tanzania Bara na Zanzibar- Ornament Spinal Robster na Green Crab yamefikia Tani 140 mwaka 2020
Mauzo ya korosho kutoka Tanzania yameongezeka kutoka Tani 27 mwaka 2017 hadi kufikia Tani 1007 katika mwaka 2020
Mauzo ya Ufuta kutoka Tanzania katika soko la China yameongezeka kutoka Tani 29,700 mwaka 2017 hadi kufikia Tani 100,000 mwaka 2020.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *