Waziri wa Nyumba, Nishati na Maendeleo ya Makazi wa Misri, Mhe. Assim Elgazzar ameipongeza Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ambao umefikia asilimia 95.83 hadi sasa.
Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili mkoani Shinyanga akitokea jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi leo Disemba 29, 2023.
BWAWA LA NYERERE NI ZIWA JIPYA ULIMWENGUNI
Linakuwa Eneo la tisa kwa ukubwa Ulimwenguni, la nne kwa ukubwa barani Afrika, na kubwa zaidi Mashariki mwa Afrika. Kwa urefu wa kilomita 100 (maili 62), upana wa kilomita za mraba 1,200 (maili za mraba 460), Likizuiwa na ukuta wa konkriti wenye urefu wa mita 134 [futi 440] likiwa na …
Soma zaidi »WAZIRI MAKAMBA AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS MKOANI KIGOMA
Waziri wa Nishati, January Makamba ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango tarehe 22 Septemba 2021 la kutatua changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara mkoani Kigoma. Katika ziara yake ya kikazi mkoani Kigoma aliyoifanya tarehe 06 Oktoba 2021, Waziri …
Soma zaidi »TUPO TAYARI KUFANYA KAZI NA ATOGS- WAZIRI MAKAMBA
Na Teresia Mhagama, DodomaWaziri wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa, Wizara ya Nishati ipo tayari kufanya kazi na Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi (ATOGS) ili kuendelea kuwezesha wananchi kushiriki ipasavyo katika Sekta hiyo.Makamba alisema hayo tarehe 4 Oktoba, 2021 wakati alipofanya mazungumzo na Wajumbe wa …
Soma zaidi »DG MPYA REA ATAKA UTENDAJI KAZI WENYE BIDII, MAARIFA NA UADILIFU
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo (kulia), akimtambulisha rasmi Mkurugenzi Mkuu mpya wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Said kwa Wafanyakazi wa REA mara baada ya kukabidhiwa rasmi Ofisi, Septemba 29, 2021 Dodoma. Mkurugenzi Mkuu mpya wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan …
Soma zaidi »WAZIRI MAKAMBA; WAKUU WA MIKOA WANA JUKUMU KUBWA MRADI WA EACOP
Na Dorina G. Makaya na Janeth Mesomapya – Tanga. Waziri wa Nishati, Mh. January Yusuf Makamba ameeleza kuwa Wakuu wa Mikoa minane (8) ambapo utapita mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) wanajukumu kubwa katika kufanikisha utekelezaji wa mradi huo kwa kuimarisha ulinzi na usalama pamoja na …
Soma zaidi »WATUMISHI WA TANESCO WATAKIWA KUJIANDAA KUIJENGA TANESCO MPYA
Na Dorina G. Makaya – Dar-es-salaam. Watumishi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamewatakiwa kuwa tayari kupokea mabadiliko, kufanya kazi kwa bidii na weledi na kutoa ushirikiano mzuri kwa uongozi wa TANESCO na bodi mpya iliyoteuliwa ili kulijenga upya Shirika la TANESCO na kuliwezesha kufikia malengo yanayotarajiwa na Serikali. Rai …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+