Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.
MatokeoChanya
January 1, 2024
DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, MIUNDOMBINU, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+, WIZARA YA AFYA, WIZARA YA ELIMU, WIZARA YA KILIMO, WIZARA YA KILIMO, Wizara ya Maji, WIZARA YA NISHATI, WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO
544 Imeonekana