WIZARA YA ELIMU

TUNAHITAJI SANA ELIMU KWA JAMII ZETU KATIKA SWALA LA MAZINGIRA🌿

Mabadiliko ya tabianchi, uharibifu wa vyanzo vya maji, ukataji wa miti, na ongezeko la uchafuzi wa mazingira ni changamoto zinazotishia ustawi wa kizazi cha sasa na kijacho. Umuhimu wa kutunza mazingira katika maisha ya kila siku Namna elimu ya mazingira inaweza kusaidia kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi Jinsi jamii …

Soma zaidi »