Na Munir Shemweta, WANMM SONGWENaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametaka zoezi la utambuzi wa wamiliki wa nyumba liende sambamba na kutambua viwanja visivyolipiwa kodi ya pango la ardhi. Dkt Mabula alitoa kauli hiyo tarehe 22 Februari 2021 wakati akizungumza na wakurugenzi wa halmashauri …
Soma zaidi »DKT MABULA AZINDUA KAMPENI YA KODI YA ARDHI
Na Munir Shemweta, WANMM Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezindua Kampeni Maalum ya kuhamasisha ulipaji kodi ya Pango la Ardhi yenye kauli mbiu inayosema MWAMBIE MMILIKI WA ARDHI, KODI YA PANGO LA ARDHI INAMHUSU. Katika kampeni hiyo, Maafisa Ardhi na Wajumbe wa Serikali …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AWABANA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUONGEZA KASI UTOAJI HATI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka Watendaji wote wa sekta ya ardhi katika halmashauri kushiriki zoezi la kuandaa hati za ardhi ili kuongeza kasi ya utoaji hati katika maeneo mbalimbali nchini. Dkt Mabula ametoa agizo hilo mwishoni mwa wiki alipozungumza na wataalamu wa …
Soma zaidi »SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUCHUKUA ARDHI BILA KULIPA FIDIA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amepiga marufuku halmashauri, Taasisi na Watu binafsi kuchukua maeneo ya wananchi bila kulipa fidia. Akizungumza hivi karibuni mkoani Singida wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa huo, Lukuvi alisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya halmashauri na Taasisi …
Soma zaidi »KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI, MALIASILI NA UTALII JIJINI DODOMA
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha …
Soma zaidi »WIZARA YA ARDHI KUANZA UHAMASISHAJI UTEKELEZAJI MPANGO KABAMBE JIJI LA DODOMA
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajiwa kuanza utekelezaji Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma kwa kuanza kuhamasisha wananchi wa kata za Mpunguzi na Matumbulu kufanya maendeleo kwa kuzingatia mpango huo. Timu ya Wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI ATAKA WATENDAJI WA MITAA KUSIMAMIA ARDHI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanashusha usimamizi wa masuala ya ardhi kwa watendaji wa mitaa na vijiji na sio kwa wenyeviti wa mitaa na vijiji kama ilivyo sasa ili kuepuka migogoro ya ardhi, ujenzi holela na kurahisisha ufuatiliaji …
Soma zaidi »HALMASHAURI ZA BAGAMOYO NA MKURANGA MKOA WA PWANI WANUNUA VIFAA VYA UPIMAJI ARDHI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amefurahishwa na kuzipongeza halmashauri za wilaya ya Mkuranga kwa kununua vifaa vya upimaji na Bagamoyo kwa kuandaa mpango Kabambe. Akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi, viongozi wa mkoa wa pwani na wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AWATAKA WAMILIKI WA ARDHI KUJENGA KWA KUFUATA SHERIA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi. Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es salaam na Pwani. Alisema sheria inamtaka mmiliki …
Soma zaidi »LUKUVI AANZA KUWASAKA WAMILIKI WA ARDHI WASIOCHUKUA HATI KWA SIMU
Na Munir Shemweta, DAR ES SALAAM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameanza kazi ya kuwatafuta wamiliki wa ardhi walioshindwa kuchukua hati zao kwenye ofisi za Ardhi za mikoa kwa kuwapigia simu wamiliki wa jiji la Dar es Salaam na kuwataka kuzifuata hati zao katika kipindi …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+