WIZARA YA ARDHI

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUHAMASISHA URASIMISHAJI

Sehemu ya Watendaji wa sekta ya ardhi na wawakilishi wa Kampuni za Upangaji na Upimaji wakiwa katika kikao kilichofanyika Chuo cha Mipango jijini Dodoma jana. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka watendaji wa sekta ya ardhi nchini kutumia njia mbalimbali katika kuhamasisha zoezi …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WALIOKWAMISHA ZOEZI LA URASIMISHAJI KIVULE

Na Munir Shemweta, WANMM Waziri Lukuvi ameagiza kuchukuliwa hatua na kuchunguzwa watendaji wote wa chuo cha ardhi Morogoro (ARIMO) waliohusika kuchelewesha urasimishaji makazi katika kata ya Kivule Dar Es Salaam. Aidha, Waziri Lukuvi aligiaza pia Makamishna wote wa ardhi katika ofisi za ardhi za mikoa kumpatia majina na kampuni zilizoshindwa kutekeleza …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AAMURU KUFUTWA HATI YA ARDHI NA KUSHUSHA NEEMA KWA WAKAZI WA MHANDU NYAMAGANA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameshusha neema kwa wakazi wa kata ya Mhandu katika halmashauri ya manispaa ya Nyamagana mkoa wa Mwanza kwa kuamuru kuondolewa katika daftari Hati ya kitalu Na 153 eneo hilo na kupatiwa wananchi 74 waliokuwa katika mgogoro. Akitoa uamuzi huo tarehe …

Soma zaidi »