KONGAMANO LA KITAIFA LA KUJENGEWA UELEWA JUU YA ATHARI ZA SAUTI ZILIZOZIDI KATIKA NYUMBA ZA IBADA
Ni kongamano lililoandaliwa na Jumuiya ya Maridhiano ya Amani Tanzania kwa Kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).
Soma zaidi »Hata uchumi wa Korea ulikuwa kama wa Tanzania, walipoamua kuruhusu wawekezaji wameiacha Tanzania
#DP#Bandari #Bandari ya Dar es Salaam na Kampuni ya #DP-World
Soma zaidi »TANZANIA KINARA MASUALA YA MAAFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kusaini mkataba wa kuanzisha Kituo cha Huduma za Binadamu na Operesheni za Dharura cha Kanda ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). “Lengo la kuanzisha kituo hicho ni kusimamia utoaji wa huduma na misaada ya kibinadamu kwa nchi wanachama. …
Soma zaidi »CHANGAMOTO BANDARI YA MALINDI INASABABISHWA NA KUWA NA GATI MOJA DOGO LA KUSHUSHIA MIZIGO
Dk. Mwinyi amesema changamoto ya Bandari ya Malindi inasababishwa na jambo moja kuu ambalo ni kuwa na gati moja dogo la kushushia mizigo ambalo linasababisha foleni za meli kushusha hadi siku 7, hata hivyo alieleza kuwa utatuzi wa changamoto hiyo ni kuwa na bandari kubwa zaidi na gati nyingi zenye …
Soma zaidi »BALOZI IBUGE AKUTANA, KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANANSHERIA MKUU WA ZANZIBAR
Na Nelson Kessy, Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akutana na kufanya mazungumzo na Mwanansheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji katika Afisi za Mwanasheria Mkuu mjini Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano …
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AKUTANA NA UJUMBE WA JUMUIYA YA MADHEHEBU YA BOHORA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Jumuiya ya Madhehebu ya Bohora kuja kuekeza Zanzibar kutokana na fursa mbali mbali zilizopo hapa nchini.Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokutana na Wajumbe wa Jumuiya ya Madhehebu …
Soma zaidi »UTIAJI SAINI HOJA ZA MAKUBALIONO MUUNGANO
Kikao cha Utiaji saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi, ambapo Hoja 5 zimeondolewa ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda na Biashara, Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kikao cha Utiaji saini …
Soma zaidi »MKANDARASI WA UJENZI WA STAND MPYA YA MABASI YA MBEZI LUIS ATAKIWA KUKABIDHI MRADI KWA MUDA ULIOPANGWA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya Mikoani na nje ya nchi ya Mbezi Louis ambayo ujenzi wake kwa sasa umefikia 70%, kuhakikisha Ujenzi huo unakamilika na kukabidhiwa kwa wakati.RC Makonda amesema ujenzi wa Stand hiyo unagharimu …
Soma zaidi »MITIHADI YA KIDATO CHA SITA KUFANYIKA KUANZIA JUNI 29, 2020
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amezitaka shule zote zenye wanafunzi wa kidato cha sita kuanza maandalizi ya kupokea wanafunzi hao ili waanze masomo Juni 1 2020 kama ilivyoelekezwa. Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo Jijini Dodoma wakati alipoongea na waandishi wa habari ambapo amesema ni vizuri kwa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+