Tanzania

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Maridhiano yamewezesha kurejesha mahusiano yaliyovunjika. yamejenga daraja la uelewa, imani, na mawasiliano mazuri, hivyo yameimarisha uhusiano kati ya viongozi wa vyama vyote vya Siasa. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #BarazaLaVyamaVyaSiasa #KaziIendelee pic.twitter.com/3mRf2AWdyG— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024 Kujenga Jamii Iliyostahimilivu: Kupitia mageuzi, jamii inaweza kujenga uwezo wa kustahimili changamoto za kisiasa, kiuchumi, …

Soma zaidi »

MAANDALIZI MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA YAKAMILIKA, KUFANYIKA UKUMBI WA JNICC

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji, Francis K. Mutungi akitoa ufafanuzi wakati wa Kikao cha Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa kilichoketi leo tarehe 2 Januari 2024 jijini Dar es Salaam. Kikao hicho cha maandalizi ya mwisho kuelekea Mkutano Maalum wa wadau wa Demokrasia na Vyama vingi …

Soma zaidi »

FALSAFA YA 4R’s YA RAIS Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN

RAIS Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN alianzisha falsafa ya 4R’s (Reconciliation-Maridhiano, Resilience – Uthabiti, Reforms – Mageuzi naRebuilding- Ujenzi Upya,) ili kudumisha amani,utulivu na kushughulikia masuala ya siasa, kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini. RAIS Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN alianzisha falsafa ya 4R’s (Reconciliation-Maridhiano, Resilience – Uthabiti, Reforms – Mageuzi …

Soma zaidi »