
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifanya ukaguzi katika moja ya sehemu zitolewazo huduma mbalimbali za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar.

Naibu Waziri Mkuu ameyasema hayo Julai 10, 2025 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo …