Kwanini Hamsemi?
#Maendeleo #Uzalendo #Tanzania #HamisAbdala #TuongeeUkweli #VijanaNaMaendeleo
Soma zaidi »WATU MKO KIMYA HAMSEMI …! , – HAMIS ABDALA
“Mnasemaje nchi haina maendeleo, mmekaa kimya, hamsemi kwanini!” ni ujumbe mzito kutoka kwa Hamis Abdala, Mtanzania anayetoa changamoto kwa jamii na kuibua mjadala kuhusu uzalendo, uwajibikaji wa raia, na kutambua jitihada za maendeleo nchini. Katika video hii, tunatafakari kwa kina: Ni maendeleo gani yamefanyika nchini Tanzania? Kwa nini baadhi ya …
Soma zaidi »Hongera Prof Janabi, Hongera Tanzania
Ni yapi madhara ya Utumiaji mirungi?
#NiulizeNikujibu_DCEA #DCEA_Mpya #DCEA
Soma zaidi »Haizidi dakika kumi kuboresha taarifa zako katika daftari la kudumu la mpiga kura
Arusha,Kilimanjaro,Manyara,Tanga,Dar es Salaam,Morogoro,Pwani,Mtwara,Lindi,Singida,Dodoma,Mjini,Magharibi Kaska,Unguja Kusn,Unguja Kaskazini,Pemba na Kusini Pemba Kuanzia tar 16 – 22 Mei 2025
Soma zaidi »Makamu wa Rais Mhe. Dkt.Philip Mpango kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Brazil na Afrika kuhusu Usalama wa Chakula
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino, Dodoma ambapo pia aliwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha
Rais Dkt. Samia Suluhu akisafiri kwa Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma, ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki zoezi la uboreshaji taarifa zake katika Daftari la kudumu la mpiga kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijijini cha Chamwino, Dodoma
AMIRI JESHI MKUU NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
@SuluhuSamia#kazinaututunasongambele#SisiniTanzania#Nchiyangukwanza
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+