Tanzania MpyA+

WAZIRI MHAGAMA AHIMIZA KASI HATUA YA PILI YA UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA BIDHAA ZA NGOZI KILIMANJARO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akiwa ameogozana na Viongozi mbalimbali wanaosimamia Ujenzi wa kiwanda hicho cha Kilimanjaro International Leather Industries Co. Ltd alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya kiwanda hicho cha kutengeneza viatu sambamba na …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI KATAMBI ATAKA WAAJIRI KUZINGATIA SHERIA ZA KAZI KATIKA MAENEO YAO YA KAZI

Waajiri na wamiliki wa makampuni wameaswa kuzingatia sheria za kazi katika maeneo yao ya kazi ili waweze kuboresha mazingira ya utendaji kazi utakaoleta tija na ufanisi katika maeneo ya kazi. Kauli hiyo ametolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Patrobas Katambi …

Soma zaidi »

DARAJA LA MWASONGE KUUNGANISHA MISUNGWI NA NYAMAGANA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), mkoani Mwanza umedhamiria kuunganisha Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana kupitia ujenzi wa Daraja la Mwasongwe lililopo Mto Nyashishi ili kuwezesha wananchi kufanya shughuli zao za usafiri na usafirishaji kwa urahisi. Hayo yamesemwa na Meneja wa …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AWAAGIZA WATUMISHI WA WIZARA HIYO KUACHA KUFANYAKAZI KWA MAZOEA

Na. Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewaagiza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuhakikisha Serikali inapata mafanikio makubwa Zaidi ya kukuza uchumi wan chi na kuboresha maisha ya wananchi. Alitoa …

Soma zaidi »

BALOZI IBUGE AKUTANA, KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANANSHERIA MKUU WA ZANZIBAR

Na Nelson Kessy, Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akutana na kufanya mazungumzo na Mwanansheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji katika Afisi za Mwanasheria Mkuu mjini Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano …

Soma zaidi »

NIMEDHAMIRIA KUENDELEZA JITIHADA ZA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO ZILIZOBAKIA – WAZIRI UMMY MWALIMU

Na Lulu Mussa, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu hii amefanya ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kwa lengo la kujitambulisha. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na Rais …

Soma zaidi »