Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) Bi. Stephanie Mouen Essombe, wakibadilishana hati za Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70 (Sh. za Tanzania bilioni 175.6) kwa ajili ya kugharamia mradi wa Maji …
Soma zaidi »SADC WAPENDEKEZA KUONDOLEWA KWA VIKWAZO VYA KIBIASHARA MIPAKANI
Eric Msuya – MAELEZO Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge amewataka watanzania kuendelea kudumisha umoja na Ushirikiano wa Kibiashara katika ukanda wa Jumuiya ya maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Mkutano wa …
Soma zaidi »MKANDARASI WA UJENZI WA STAND MPYA YA MABASI YA MBEZI LUIS ATAKIWA KUKABIDHI MRADI KWA MUDA ULIOPANGWA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya Mikoani na nje ya nchi ya Mbezi Louis ambayo ujenzi wake kwa sasa umefikia 70%, kuhakikisha Ujenzi huo unakamilika na kukabidhiwa kwa wakati.RC Makonda amesema ujenzi wa Stand hiyo unagharimu …
Soma zaidi »SERIKALI YATOA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAABARA YA TAIFA YA AFYA YA JAMII NA KUBAINI MAPUNGUFU MBALIMBALI
Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadam (NIMR) jijini Dar es Salaam na kubaini mapungufu mbalimbali ya kiutendaji yaliyokuwepo katika maabara hiyo.Akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo leo jijini Dar es Salaam, Waziri …
Soma zaidi »MANYANYA AAGIZA BIDHAA ZA SAMAKI ZOTE ZINAZIUZWA NJE YA NCHI KUWEKEWA ALAMA AU MAELEZO KUONESHA KUWA NI BIDHAA KUTOKA TANZANIA
Na Eliud Rwechungura Wizara ya Viwanda na Biashara Ikiwa ni siku moja baada ya Ndege ya Ethiopia Airlines kuanza kufanya safari zake katika mkoa wa Mwanza kwa ajiri ya kubeba minofu ya samaki inayovuliwa katika ziwa victoria na kuchakatwa na viwanda vilivyopo mkoa wa Mwanza, Naibu Waziri wa Viwanda na …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AMTAKA RAS WA MKOA WA PWANI KUANZA NA MIRADI AMBAYO HAIJAKAMILIKA
Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Pwani Dkt. Delphine Magere Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo amemtaka Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Pwani Dkt. Delphine Magere kuanza utendaji kazi wake kwa kufanyia kazi miradi ya mabweni, mabwalo na vituo …
Soma zaidi »MUDA WA KUKAMILISHA MIRADI HAUJABADILIKA – WAZIRI KALEMANI
Veronica Simba na Zuena Msuya – Dodoma Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, awamu ya tatu, mzunguko wa kwanza na kujadiliana maendeleo ya mradi huo unaotekelezwa nchini kote. Kikao hicho kilichofanyika, Mei 21, 2020 jijini Dodoma kimehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa …
Soma zaidi »BODI YA UTALII TANZANIA: TUPO TAYARI KUANZA KUPOKEA WATALII
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema ipo tayari kuanza kupokea watalii wakati wowote kuanzia sasa kufuatia hatua ya Serikali kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini hatua iliyotokana na kupungua kwa kasi ya mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu (CORONA) duniani. Hayo yamesemwa Jijini Dar es Saalam na …
Soma zaidi »WATANZANIA WALIOKUWA WAMEKWAMA ABU DHABI WAREJEA NCHINI
Watanzania 119 waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) wamerejea Tanzania na kutoa shukrani kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na jitihada za kuwarejesha nyumbani. Watanzania 119 waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) baada ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona na kusababisha mashirika mbalimbali ya ndege kufunga safari …
Soma zaidi »WAZIRI MKUCHIKA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA YA NDEGE ZA SERIKALI
James K. Mwanamyoto – Chamwino DodomaSerikali imezindua Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Ndege za Serikali ambayo itakuwa na jukumu la kumshauri Waziri mwenye dhamana juu ya namna bora ya kuboresha wakala hiyo ili kuwa na mipango na mikakati endelevu itakayoleta tija katika usafiri wa anga. Akizindua bodi hiyo mapema …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+