RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

DKT NCHEMBA AIPA KONGOLE SADC KUTAKA KUANZISHA MFUKO WAKE WA MAENDELEO YA KIUCHUMI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amemwakilisha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), kushiriki Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao wa Zoom, akiwa katika Ofisi …

Soma zaidi »

Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema itaendeleakushirikiana na Nchi Wanachama wa Jumuiya ya MaendeleoKusini mwa Afrika (SADC) katika kukabiliana na athari zamabadiliko ya tabianchi katika ukanda huo

Hayo yameelezwa Desemba 11, 2024 Jijini Dodoma na NaibuKatibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi Christina Mndeme wakati wa mazungumzo baina yake naUjumbe wa Wizara ya Maliasili na Mabadiliko ya Tabianchiwa Serikali ya Jamhuri ya Malawi ulioongozwa naMkurugenzi wa Mazingira wa Wizara hiyo, Bi. TawongaMbale-Luka. Mndeme amesema mataifa …

Soma zaidi »

“NATARAJIA SASA KILE KITI UTAKIACHA NA UTASHUKA NA WATAALAMU KWENYE FILD UKAFANYE KAZI YAKO”

Haya ni maelekezo makini na yenye msisitizo kutoka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bi Aisha. Rais anaonyesha umuhimu wa mawaziri kushuka hadi ngazi za chini ili kushirikiana moja kwa moja na wananchi na wataalamu kwenye sekta husika, hasa katika utekelezaji wa miradi na …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA ANASHIRIKI KWENYE MJADALA WA WAKUU WA NCHI AFRIKA MASHARIKI

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameongoza Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika jijini Arusha. Mkutano huu umewaleta pamoja viongozi wa nchi wanachama kujadili masuala muhimu yanayoathiri kanda na mustakabali wa jumuiya. Mantiki ya Mjadala: Ufadhili Endelevu wa Jumuiya: Wakuu …

Soma zaidi »

MIAKA 63 YA UHURU WETU MAANDAMANO MAKUBWA YAKIFUATIWA NA KULIOMBEA TAIFA MKOANI ARUSHA

Katika kuadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika ipate uhuru wake tarehe 9 Desemba 1961, mkoa wa Arusha umeandika historia kwa kushuhudia maandamano makubwa na maombi maalum ya kuliombea taifa. Tukio hili, lililovuta hisia za wengi, limeleta pamoja maelfu ya wananchi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii, wakiwemo viongozi wa dini, serikali, wanaharakati, …

Soma zaidi »