Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »MBIO ZA MWENGE WA UHURU
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2025 zinabeba kauli mbiu isemayo”Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu” ambayo inalenga kuwakumbusha na kuwasisitiza Watanzania wotekutumia kikamilifu haki yao ya kikatiba ya kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani.
Soma zaidi »HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA KATIKA BARAZA LA EID EL-FITRI UKUMBI WA JNICC
EID MUBARAK WATANZANIA
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumika na waisalamu wengine kusali swala ya Eid katika kukamilisha ibada ya Mfungo wa Ramadhan katika Msikiti wa Mohamed VI uliopo katika Makao Makuu ya BAKWATA Kinondoni Jijini Dar kwa ajili ya kuswali Swala ya Eid El Fitr
ARUSHA IMEFUNGUKA.
TEMBELEA , HIFADHI ZA TAIFA NA HAPA NI NYUMBANI.
Soma zaidi »LIVE: KILELE CHA MAONESHO YA SIKU YA KUONDOA TAKA DUNIANI – VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
NAIBU WAZIRI KHAMIS HAMZA AZITAKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA NA NEMC KUTOA ELIMU YA FURSA ZA TAKA
KAMPENI YA “NO REFORMS NO ELECTION” INAMPANGO WA KUIPENDELEA TEAM – ELISHA ASA MWAMBENE
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu. Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+