Makubaliano hayo yamefikiwa katika kikao kilichofanyika Oktoba 7 hadi 8, 2025 ambapo wajumbe wa Bodi na wataalamu kutoka taasisi hizo walikutana kubadilishana uzoefu kuhusu utekelezaji wa majukumu yao.
Soma zaidi »NEMC NA ZEMA ZAIMARISHA MAHUSIANO NA MASHIRIKIANO KATIKA UHIFADHI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA NCHINI
Uwekezaji wa Vizimba vya Samaki Jijini Mwanza – Fursa Kubwa ya Uchumi wa Maji
Ufugaji wa samaki kwa vizimba ni mfano halisi wa jinsi teknolojia na ubunifu vinavyoweza kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa Watanzania.
Soma zaidi »MAZINGIRA YETU. UHAI WETU, TUYATUNZE YATUTUNZE
NEMC imepokea ugeni wa Menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Zanzibar (ZEMA) leo Oktoba 7, 2025
NEMC imefanya kikao Cha kujengeana uwezo ikiwa ni mwendelezo wa juhudi za kuimarisha ushirikiano katika kusimamia na kuhifadhi mazingira.
Soma zaidi »WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA NEMC
NEMC katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Mteja yenye kaulimbiu “Mission Possible” imeweka banda maalum katika ofisi zake ili kurahisisha huduma kwa wateja ikiwa ni pamoja na kujenga mahusiano bora, wadau kutoa maoni, changamoto, na kupatiwa majibu kuhusu huduma za mazingira
Soma zaidi »MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA KUSAMEHE WATAKAO KIRI KUFANYA BIASHARA HIYO
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo, ametangaza msamaha kwa wote watakaojisalimisha na kukiri kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya, alipokuwa akiteketeza tani 4.402 za dawa za kulevya katika zoezi lililofanyika Oktoba 3, 2025, katika kiwanda cha saruji cha Twiga kilichopo Wazo, jijini …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+