MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KWALA MKOA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi wa Kwala Pwani, leo tarehe 31 Julai, 2025. #SGRTanzania #RaisSamia #MizigoKwaSGR #KwalaTerminal #MageuziYaUsafiri #TanzaniaInajengwa
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA SGR KWALA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameandika historia nyingine katika sekta ya usafirishaji nchini kwa kuzindua rasmi usafirishaji wa mizigo kupitia Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Kwala, mkoani Pwani. Uzinduzi huu unaashiria mwanzo mpya wa mageuzi ya kimkakati katika usafiri wa mizigo nchini na …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa bandari Kavu ya Kwalakesho tarehe 31 Julai 2025
Matukio katika picha: Maandalizi ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na uanzishaji wa huduma ya usafiri ya treni ya mizigo ya reli ya kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Dodoma, sambamba na upokeaji wa mabehewa mapya na yaliyokarabatiwa ya reli ya zamani(MGR)Kwala, mkoani Pwani.
Soma zaidi »UBORESHAJI UNAENDELEA PWANI
RAIS SAMIA AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA MFALME WA SAUD ARABIA, AZINDUA MRADI WA MAJI CHALINZE, PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Mfalme wa Saudia Arabia, Mhe. Ahmed Abdulazizi Kattan mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Machi, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu …
Soma zaidi »RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MLANDIZI – MBOGA MACHI 22
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Mradi mkubwa wa maji Mlandizi-Mboga (Chalinze) mkoani Pwani uliogharimu Bilioni 18, unatarajiwa kuzinduliwa Machi 22 mwaka huu ,na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan. Mradi huo unatajwa kwenda kuondoa kero kubwa ya maji waliyokuwa wakiipata wananchi Chalinze na maeneo jirani . Akitoa taarifa ya …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI KUNDO – SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (ICT) – Mhe. Mhandisi. Andrea Mathew Kundo amemwagiza Mkuu wa Kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kanda ya Mashariki kushughulikia haraka maombi ya Halmashauri ya Chalinze ya kuimarisha MIundombinu ya mawasiliano ikiwemo kupatiwa kibali cha Masafa ya radio (radio frequency) na …
Soma zaidi »JIMBO LA CHALINZE KUJENGWA KITUO CHA HUDUMA ZA MATIBABU YA DHARURA
Na. Andrew Chale, Chalinze Jimbo la Chalinze linatarajiwa kujengwa jengo la kituo cha huduma za Matibabu ya Dharura ‘Emergency Department’ litakalosaidia Watanzania mbalimbali ikiwemo wa wanaotoka Mikoa jirani ikiwemo ya Tanga, Morogoro, Dar es Salaam pamoja na Pwani kupatiwa huduma za haraka na za kibingwa pindi wapatapo shida za ajali …
Soma zaidi »RIDHIWANI KIKWETE AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI KWA UJENZI WA LAMBO LA MIFUGO KIJIJI CHA CHAMAKWEZA -VIGWAZA
Na. Andrew Chale, Chalinze Mbunge Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha za ujenzi wa lambo kubwa kwa ajili ya mifugo ndani ya Kijiji cha Chamakweza Kata ya Vigwaza katika Halmashauri ya Chalinze, lililogharimu Tshs. Milioni 700. Mbunge amebainisha hayo jana …
Soma zaidi »