Lori la mizigo likipakia mawe katika eneo la Kilanjelanje mkoani Lindi tayari kwaajili ya kusafirishwa kuelekea jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ametengua nafasi ya Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), mkoa wa Pwani na Lindi kutokana na kutoridhishwa na usimamizi na …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AKIPITA KWENYE DARAJA LA MKAPA RUFIJI MKOANI PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita na kukagua Daraja la Mkapa linalopita katika Mto Rufiji mkoani Pwani wakati akitokea Masasi Mtwara kwenye msiba wa Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo tarehe 30 Julai 2020. Daraja hilo linalounganisha Pwani …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MGALU ARIDHISHWA NA HATUA ILIYOFIKIWA KATIKA MRADI WA UMEME WA JNHPP
Hafsa Omar-Morogoro Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu, Julai 2,2020 amefanya ziara ya ukaguzi ya maendeleo ya ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua Umeme kwa Maji wa Julius Nyerere(JNHPP) unaotekelezwa kwenye mto Rufiji. Katika ziara yake hiyo, aliambatana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya pamoja na …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KIBAMBA – KISARAWE MKOANI PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ili kuzindua mradi mkubwa wa maji wa Kibamba-Kisarawe katika sherehe zilizofanyika Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani leo tarehe 28 Juni 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa …
Soma zaidi »MFUMO WA STAKABADHI GHALANI KUMNUFAISHA MKULIMA WA UFUTA – RC NDIKILO
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mkoa wa Pwani, umekemea wakulima wa ufuta waliofanya udanganyifu msimu wa ununuzi uliopita kwa kuchanganya ufuta na mchanga, kwani umesababisha doa kwenye soko hivyo kwasasa mfumo utakaotumika ni wa stakabadhi ghalani ,ambao utadhibiti udanganyifu na kuinua pato la mkulima.Aidha minada ya ununuzi wa ufuta mwaka huu …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+