MKOA WA MWANZA

WAZIRI MKUU MAJALIWA: HAYATI DKT. MAGUFULI AMEACHA ALAMA HADI VIJIJINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi mahiri na ameacha alama Taifa zima na ndiyo sababu analiliwa na wananchi nchi nzima hadi vijijini. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Machi 24, 2021) alipozungumza na wananchi kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kabla ya …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO – BUSISI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Desemba 18, 2020 amekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa daraja la (Kigongo – Busisi) Mkoani Mwanza. Daraja hilo linaurefu wa kilomita 3.2 na barabara unganishi kilomita 1.66 na linagharimu shilingi bilioni 699.2

Soma zaidi »

“VIFO VYA MAMA WAJAWAZITO HAVIVUMILIKI TENA” – MGANGA MKUU WA SERIKALI

Na Englibert Kayombo WAMJW – MWANZA Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi amesema kuwa Serikali haitovumia tena vifo vya akina mama wajawazito vinavyosababishwa na uzembe wa watumishi kazini. Prof. Makubi ametoa kauli hiyo alipokuwa akifunga kikao kazi cha timu ya uongozi wa afya ya Mkoa wa Mwanza kilichofanyika Wilayani …

Soma zaidi »