SHEHE WA MKOA WA ARUSHA SHABAN JUMA ABDALAH: KULINDA MAZINGIRA NI MIONGONI MWA NEEMA ZA MUNGU KWETU
Nchi inaposhindwa kulinda Neema ya mazingira kwa ajili yetu na kizaji kijacho Mungu anaweza kuondosha Neema nyingine nyingi kwenye nchi. Ameahidi kumuunga mkono na yupo tayari kupokea maagizo yoyoyte ya Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ya kulinda Mazingira.
Soma zaidi »WIZARA YA FEDHA ITAWEKA AJENDA YA RAIS DKT SAMIA YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KUWA KIPAUMBELE
Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ameeleza kuwa ni gharama kubwa sana kukabiliana na uharibifu wa Mazingira, lakini Mataifa ya Afrika Mashariki Yanapochukua hatua za Mapema itaepusha gharama za baadae za kurejesha Mazingira. Ni lazima Nchi zote za Afrika Mashariki zikaiga kwa Tanzania sasa zikahamasisha matumizi ya nishati safi ya …
Soma zaidi »TANZANIA YAKUTANA NA WADAU NCHI ZA AFRIKA KUJADILI NAMNA BORA YA UDHIBITI WA TAKA ZA KIELEKTRONIKI
MCHIMBAJI MDOGO AISHUKURU SERIKALI NA NEMC KUTOA SEMINA YA TEKNOLOJIA MBADALA WA KEMIKALI YA ZEBAKI
MCHIMBAJI MDOGO WA MADINI GEITA ATOA WITO KWA WACHIMBAJI KUACHA MATUMIZI YA KEMIKALI YA ZEBAKI
WITO WATOLEWA KWA WACHIMBAJI WADOGO KUACHA MATUMIZI YA KEMIKALI YA ZEBAKI (MERCURY)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio kushoto pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina
Hii ni mara baada ya kushiriki Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung wenye lengo la kutafuta suluhu ya changamoto ya upatikanaji wa chakula Duniani inayochochewa na mabadiliko ya tabianchi. Mjadala huo umefanyika katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024. #NaHayaNdiyoMatokeoChanyA+ #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+