MAZINGIRA

TAZAMA, SHIRIKI NA CHUKUA HATUA.

Wajibu wetu binafsi katika kulinda mazingira. Mazingira ni uhai—tukilinda mito, kupanda miti, na kudhibiti taka, tunalinda maisha yetu na vizazi vijavyo. Usisubiri mtu mwingine aanze. Chukua hatua leo: punguza matumizi ya plastiki, elimisha jirani yako, na uwe balozi wa mazingira kwa vitendo. Tazama video hii, shiriki na wengine, na kuwa …

Soma zaidi »

“VITA ZA SILAHA ZAPUNGUA, SASA NI VITA DHIDI YA MABADILIKO YA TABIANCHI” – ENG. CYPRIAN LUHEMEJA

Katika hotuba yake ya kugusa moyo kwenye Maonyesho ya Sabasaba 2025, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Cyprian Luhemeja, ametahadharisha kuwa dunia imeingia kwenye sura mpya ya mapambano – si tena kwa kutumia silaha, bali dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi. Amesema janga hili linagusa kila …

Soma zaidi »

ENG. CYPRIAN LUHEMEJA AFURAHISHWA NA HAMASA YA MAZINGIRA SABASABA 2025

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Cyprian Luhemeja, ameonesha kufurahishwa na namna taasisi mbalimbali zimeipa kipaumbele ajenda ya mazingira katika Maonyesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba. Akiwa katika ziara ya kutembelea mabanda, Eng. Luhemeja amesema kuwa karibu kila banda alilopita limeweka mbele elimu, suluhisho …

Soma zaidi »