Rais wa Comoro, Azali Assoumani, alichukua nafasi ya uenyekiti wa Umoja wa Afrika kutoka kwa Rais wa Senegal Macky Sall kama urais wa zamu wa umoja huo. “Shirika letu limethibitisha kwa ulimwengu imani yake kwamba nchi zote zina haki sawa,” amesema Rais Azali.
Soma zaidi »LIVE: WABUNGE WAKIPIGA KURA ZA WAZI UPITISHAJI WA BAJETI YA SERIKALI 2019/2020
LIVE: UZINDUZI WA GHALA NA MITAMBO YA KUCHAKATA GESI YA LPD, KIGAMBONI DSM
LIVE : FUATILIA MOJA KWA MOJA DROO YA UPANGAJI MAKUNDI YA TIMU ZILIZOFUZU KUCHEZA FAINALI YA AFCON 2019 TANZANIA IKIWA MOJAWAPO
Follow LIVE the #TotalAFCON2019 group stage draw! #FootballTogether https://t.co/UKAY6BTPy4 — Football Together (@Football2Gether) April 12, 2019
Soma zaidi »LIVE: RAIS AKIZINDUA CHUO CHA VETA NAMTUMBO
#LIVE : UFUNGUZI WA BARABARA YA MANGAKA NA NAKAPANYA TUNDURU ENEO LA NANYUMBU MTWARA
LIVE: UWEKAJI JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO MTWARA
MRADI WA MAJI MLANDIZI MBOGA KUANZA KATIKATI YA MWEZI WA NNE
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ametembelea kiwanda cha mabomba cha Tanzania Steel Pipes kinachotengeneza mabomba ya kusafirishia maji kwenye mradi wa maji wa Mlandizi- Chalinze- Mboga, ambapo takribani mabomba 321 yameanza kusafirishwa kwa ajili ujenzi wa mradi huo unaotarajiwa kuanza katikati ya mwezi April. Amesema, kukamilika kwa mradi huo ambao …
Soma zaidi »LIVE KUTOKA JNICC: MAKAMU WA RAIS AKIFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI NA AFYA
LIVE IKULU: RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS NA BONDIA MWAKINYO
Oniline Radio, Bofya link hii http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+