Matokeo ChanyA+

Tumekuta zana mbalimbali ambazo zinatupeleka kugundua Watoto zaidi ya 200 hawafundishwi maadili mema

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Halima Okash ameagiza kufungwa kwa Taasisi ya Mango Kinder iliyopo Kata ya Dunda Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya kituo hicho kukiuka utaratibu wa leseni yake ya kutoa haki kwa Watoto na badala yake kuwakusanya Watoto zaidi ya 200 na kuwapa elimu juu ya masuala …

Soma zaidi »

SERIKALI YA TANZANIA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MTAALAM WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU HAKI ZA WATU WENYE UALBINO

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amefanya mazungumzo na Mtaalam wa kujitegemea wa masuala ya haki za Watu wenye Ualbino kutoka Umoja wa Mataifa (UN Independent Expert on the Enjoyment of rights by Persons with Albinism), Bi. Muluka-Anne …

Soma zaidi »

USHAWISHI WA TANZANIA DUNIANI UTATEGEMEA NA UBORA WA SERA YA MAMBO YA NJE INAYOREKEBISHWA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu-Zanzibar, Mhe.  Ali Suleiman Ameir akitoa hotuba ya ufunguzi ya Kongamano la Wadau kuhusu kukusanya maoni ya marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 lililofanyika Hoteli ya Golden Tulip mjini Zanzibar tarehe 05 Februari 2024. Waziri wa Mambo ya Nje na …

Soma zaidi »

SERIKALI YA TANZANIA NA SEKTA BINAFSI YAFANYA MKUTANO WA KIHISTORIA KATIKA MINING INDABA: KUBORESHA UWEKEZAJI NA KUKUZA SEKTA YA MADINI NCHINI TANZANIA.

Wakati Serikali ya Tanzania na Sekta Binafsi kupitia Chemba ya Migodi Tanzania wakishiriki kwa mara ya kwanza kwa pamoja katika Mkutano wa Mining Indaba nchini Afrika Kusini, wametumia nafasi hiyo kukaa kikao na kujadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuboresha mazingira ya uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania. Kikao hicho …

Soma zaidi »