Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la wa jengo la Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA). Ujenzi wa jengo hilo utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 6.17 na linatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2025.
MatokeoChanya
February 7, 2024
Matokeo ChanyA+, Tanzania, Tanzania MpyA+, Waziri Mkuu
457 Imeonekana