ZIARA YA RAIS DKT. SAMIA , YALETA TABASAMU JIPYA MLELE MKOANI KATAVI…
Ziara ya Mhe Rais , Imekuwa ziara ya Mafanikio Makubwa kwa Mkoa wa Katavi, Hasa kwenye Maswala ya Utekelezaji na usambazi wa umeme kutoka gridi ya Taifa, Maswala ya Ardhi na Juhudi Kubwa ya Serikali Katika Sekta ya Ujenzi hasa Ujenzi wa Barabara.
Soma zaidi »Mlele Yafaidika na Ziara ya Rais Dkt. Samia, Kwa Kuunganishwa Na Umeme Kutoka gridi ya Taifa, …
Ziara ya Mhe Rais , Imekuwa ziara ya Mafanikio Makubwa kwa Mkoa wa Katavi, Hasa kwenye Maswala ya Utekelezaji na usambazi wa umeme kutoka gridi ya Taifa, Maswala ya Ardhi na Juhudi Kubwa ya Serikali Katika Sekta ya Ujenzi hasa Ujenzi wa Barabara.Ziara ya Mhe Rais , Imekuwa ziara ya …
Soma zaidi »Ahadi zote Tunaona Utekelezwaji Wake, Hasa Miradi Muhimu ya Kujenga Na Kuimarisha Uchumi wa Tanzania
Rais Wa Wa Jamhuri Ya Muungno Wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Amezungumza Na Wananchi Wa Kijiji Cha Inyonga Kilichopo Wilayani Mlele Mkoani Katavi Baada Ya Kuzindua Kitua Cha Kupooza Umeeme Cha Gridi Ya Taifa Cha Mlele , Ambapo Ameewataka Wananchi Kutunza Mazingira Na Kuacha Kuchoma Misitu Hovyo. Aidha …
Soma zaidi »TUTENGE MUDA KWAAJILI YA MALEZI YA WATOTO WETU KWANI NDIO VIONGOZI WAJAO WA TAIFA LETU
“Tuelekeze na Kutenga Muda kwaajili ya Malezi ya Watoto wetu kwani ndio viongozi wajao wa Taifa letu” Rais Dkt. Samia
Soma zaidi »UZALENDO NI FIKRA CHANYA+ NA KIPIMO CHA UTU KULINGANA NA KATIBA NA MILA ZA TANZANIA
Uzalendo ni fikra chanya na kipimo cha utu kulingana na katiba ya Tanzania na mila na desturi zake. Katika muktadha huu, uzalendo unamaanisha upendo na kujitolea kwa nchi yako, kuwa tayari kutanguliza maslahi ya taifa mbele ya maslahi binafsi. Hii ni sehemu muhimu ya utamaduni na maadili ya Watanzania. Uzalendo …
Soma zaidi »SERIKALI YA TANZANIA KUKUZA UTAMADUNI WA KAZI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WATOTO NA VIZAZI VIJAVYO
Serikali ya Tanzania imeweka juhudi kubwa katika kuwafundisha watoto na vizazi vijavyo umuhimu wa kufanya kazi na kutunza mazingira. Hii inaendana na Katiba ya Tanzania inayosisitiza haki ya kila mtu kupata elimu na wajibu wa kila raia kuchangia maendeleo ya taifa. Elimu ya Mazingira Serikali imeanzisha programu za elimu zinazolenga …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakiangalia baadhi ya bidhaa zilizopo katika Mabanda mbalimbali ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #NEMC #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi zawadi ya mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) kabla ya ufunguzi Rasmi wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #NEMC #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »KUBADILISHA SEKTA YA MADINI YA TANZANIA NA MADINI MKAKATI
Tanzania, moja ya nchi zenye rasilimali nyingi za madini duniani, inachukua hatua kubwa katika kusimamia na kutumia madini yake mkakati ili kuendeleza uchumi wake. Katika suala la madini muhimu, Tanzania ina utajiri wa Madini ya Nchi Adimu (REEs), Graphite, Nickel, Cobalt, na Heavy Mineral Sands. Rasilimali hizi za asili ni …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+