Wananchi wa Mkoa wa Morogoro wamepongeza juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo makubwa katika mkoa wao. Wamesema kuwa ujenzi wa treni ya kisasa (SGR) umeleta matumaini mapya ya ukuaji wa uchumi na urahisi wa usafiri. Aidha, wamefurahia kujengwa kwa hospitali za kisasa ambazo zimeboresha huduma za afya, …
Soma zaidi »WANANCHI WA MOROGORO WAFURAHIA MAENDELEO YA MRADI WA TRENI YA SGR
Wananchi wa Mkoa wa Morogoro wameelezea furaha yao kuhusu maendeleo ya mradi wa treni ya kisasa (SGR). Wamesifu jitihada za serikali katika kutekeleza mradi huo, ambao utafungua fursa nyingi za kiuchumi na kijamii katika mkoa wao na nchi kwa ujumla. Wameeleza kuwa treni ya SGR itarahisisha usafiri wa abiria na …
Soma zaidi »MACHINGA MKOANI MOROGORO WASIMAMA NA RAIS KATIKA UJENZI WA TAIFA DHIDI YA WAPINGA MAENDELEO YA NCHI
Wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) mkoani Morogoro wameonyesha mshikamano wao na Rais Samia Suluhu Hassan katika juhudi za kujenga taifa. Wamejitokeza kwa wingi kuunga mkono miradi ya maendeleo na sera za serikali, wakikemea vikali wale wanaopinga juhudi za kuleta maendeleo nchini. Machinga hao wamesisitiza kuwa wako tayari kushirikiana na serikali katika …
Soma zaidi »NEMC KUSHIRIKIANA NA WADAU KUTAFUTA MIFUMO MAHUSUSI YA UREJELEZAJI WA TAKA NGUMU NCHINI TANZANIA
NEMC KWA KUSHIRIKIANA NA CSE WAENDESHA WARSHA YA KUJENGEANA UWEZO JUU YA UREJELEZAJI WA TAKA NGUMU
“Mhe Rais nikupe habari njema…..”
“Mhe Rais nikupe habari njema; picha yako hiyo.. (picha ya Rais Dkt. Samia akiwa katika chumba Maalum cha kuokolea maisha watoto wachanga wanaozaliwa na changamoto za kiafya, alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi 14/07/2024), Mhe Rais picha yako hiyo imenipa (Wizara ya Afya) ahadi ya kupata Dola za …
Soma zaidi »“Kila mmoja wetu ana nafasi ya kuchangia katika ujenzi wa taifa letu, hakuna nafasi ya kukaa bila kufanya kazi.”
@SuluhuSamia#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC#SamiaSuluhuHassan#ChamaChaMapinduzi#PhilipMpango#wizarayaafya#wizarayaujenzi
Soma zaidi »IJUE DHANA YA KATAZO LA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI
WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEIMARISHA NGUVUKAZI SEKTA YA AFYA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeimarisha nguvukazi kwenye sekta ya afya kwa kuongeza taasisi zinazotoa mafunzo ya afya na upatikanaji wa fursa za elimu ya juu kwa kada hiyo. “Serikali imefanya upanuzi wa taasisi za mafunzo ya afya ili kuongeza idadi ya wahitimu. Taasisi hizo ni pamoja na vyuo …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+