Makamu wa Rais

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MKOA DODOMA, MZAKWE MAKUTOPORA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,amemuagiza Meneja Msaidizi wa Usimamizi wa Rasilimali za Misitu TFS Kanda ya kati Dodoma Bibi Tebby Yoramu kufuatilia Utafiti wa Udongo kwenye eneo la Mzakwe Makutopora Jijini Dodoma. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati alipofanya Ziara ya …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MSAMAHA KWA WASHTAKIWA WA UHUJUMU UCHUMI

  Rais Dkt. John Magufuli amepokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa tarehe 22 Septemba, 2019 kuhusu kuwasamehe washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi waliotayari kukiri makosa yao, kuomba msamaha na kurejesha fedha na mali. Akitoa taarifa hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga amesema …

Soma zaidi »

BUNGE LA RIDHIA MKATABA WA MINAMATA KUHUSU ZEBAKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amesema inakadiriwa kuwa asilimia 25 hadi 33 ya wachimbaji wadogo wa dhahabu hapa nchini, wameathiriwa na Zebaki kwa kupata magonjwa yakiwemo yale ya mifumo ya neva za fahamu, uzazi, upumuaji, figo, moyo, na udhaifu wa mwili. …

Soma zaidi »