Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 08 Desemba, 2019 ameweka jiwe la msingi katika miradi ya ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu, Chelezo na ukarabati wa meli za MV Victoria na MV Butiama katika Ziwa Victoria. Sherehe za uwekaji jiwe la msingi katika miradi hiyo zimefanyika …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA NYAMAGANA JIJINI MWANZA
LIVE: RAIS MAGUFULI NA MAKAMU WA RAIS KATIKA HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA MELI MPYA , CHELEZO NA UKARABATI WA MV VICTORIA NA BUTIAMA
NAIBU WAZIRI SIMA – MIFUKO MBADALA ISIYOKIDHI VIWANGO MARUFUKU NCHINI
Serikali imesema kamwe haitaruhusu uzalishaji, uingizaji na matumizi ya mifuko mbadala aina ya Non-Woven isiyokidhi viwango vya 70 Gram Per Square Metre (GSM) kutumika nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mussa Sima katika Mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashara na Wawekezaji uliolenga kusikiliza na kutatua …
Soma zaidi »OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA MAFUNZO KWA WAKUFUNZI WA VYUO VYA VETA JUU YA NJIA BORA ZA KUHUDUMIA MAJOKOFU NA VIYOYOZI BILA KUACHA KEMIKALI ANGANI.
MATUMIZI YA NISHATI MBADALA NI KITU CHA MUHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA – WAZIRI SIMBACHAWENE
Matumizi ya nishati ya kuaminika na endelevu ni kitu kisichoepukika kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na kwa Taifa lolote duniani hasa tunapoelekea kufikia lengo la Uchumi wa Viwanda ifikapo mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. George Simbachawene alipokua akizindua …
Soma zaidi »WAZIRI SIMBACHAWENE AZITAKA HALMASHAURI KUTOA ELIMU YA KUHIMILI MABADILIKO YA TABIANCHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu waRais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene ametoa wito kwa halmashauri zote kuwa na mipango kabambe inayotekelezeka kwa ajili ya kuhakikisha elimu ya kilimo kinachohimili mabadiliko ya tabianchi inawafikia wakulima katika maeneo yao. Pia amezitaka kuwajengea uwezo maafisa ugani kutekeleza jukumu hili muhimu pamoja …
Soma zaidi »KITUO CHA GESI ASILIA CHA SONGAS CHATAKIWA KUWASILISHA MPANGO KAZI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Sima ameagiza kituo cha kupokea gesi asilia cha Songas eneo la Somanga kuwasilisha mpango kazi wa usimamizi wa mazingira unaoonesha madhara na hatua zinazochukuliwa pindi yanapotokea maafa. Sima alitoa agizo hilo jana wakati wa ziara yake akiwa ameambatana na …
Soma zaidi »LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MOROGORO AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
WAZIRI SIMBACHAWENE AFUTA LESENI ZA KAMPUNI ZILIZOFANYA UDANGANYIFU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene ameagiza waliobainika kusafirisha vyuma chakavu ambavyo ni miundombinu ya majitaka na maji safi wachunguzwe kujua walikovitoa ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Pia ametahadharisha kuwa yeyote atakayekutwa amebeba, kuhifadhi, kuuza au kusafirisha vyuma …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+